Wapi naweza kunyoosha chassis kitaalamu hapa nchini

Wapi naweza kunyoosha chassis kitaalamu hapa nchini

PatPending

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
493
Reaction score
110
Waheshimiwa wanajamvi

Babu yenu hapa nina kapick kangu kalipata ajali hivi majuzi na hivi sasa tunavyoongea tumegundua kuwa chassis imepinda kidogo kwa mbele. Hali hii imepoteza mawasiliano katika mfumo wa uendeshaji maana kinu hiki kinahama hama barabarani. Naombeni msaada wajameni, kigari kenyewe ndo kalikuwa ka kustaafia hako.

Naomba kuwasilisha
 
pale kwa wachina kinyama barabara ya kwenda kwa nyerere au kwa ali maua.

Kama ni Spring City unawaongelea, uwezo wao ni mdogo kwa mambo haya. Wao wamejikita zaidi katika panel beating na spraying
 
Nenda kwa wachina wapo tazara ukiwa unatokea buguruni ni baada ya kuvuka reli opposite na bakresa. Ukutani utaona tangazo la mashine ya kunyoosha chassis
 
Back
Top Bottom