Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

Sep 14, 2011
36
5
hdd 250gb/ram 2gb ni intel R CORE TM i3 ni HP PROBOOK
na zingine nyingi;
napatikana temeke / tandika 0717525251!
 

sulu09

Member
Feb 10, 2009
19
3
Mdau

orodhesha model gani uko nazo, bei na full spex za kila moja (weka picha kama utaweza). Biashara hizi zinafanyika online kirahisi kuliko kukodi mlango kariakoo ukalipa 1M kwa mwezi

think to do it right quickly , and expect many returns

/sulu
 

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
acha biashara za kizamani,si useme tu bei unashindwa nini?sisi huwa tunanunulia hapa hapa, ya nini kupigiana sim?
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,216
7,061
Huku ni kuuziana mbuzi kwenye gunia ,mimi nilifikiri watu wanajifunza hapa jinsi ya kutangaza biashara zao kumbe baado kabisa,sasa mtu hutaji hata brand name ,model za hizo kompyu na mbaya zaidi bei husemi (wewe uefanya bei ni siri kali kama silaha za maangamizo alizokuwa nazo Saadam)niashara yako unataka ubembelezwe mara tu sms ,na uki sms siwa hujibu,au kukaa TMK kumekuathiri kaka ,changamuka ,fursa ndio hizo
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,378
mkuu hapa JF kuna maelfu ya wanachama na wengi wanatumia laptop sasa huoni unajikosesha soko lisilo na gharama ? taja aina,ukubwa,mpya/zamani na bei ya kuanzia mtu akipenda si atakutwangia kabisa ?
 

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,820
586
...Kwenda kununua laptop TEMEKE/TANDIKA si jambo la busara sana (kimazingira). Muuzaji lete mzigo maeneo ambayo mnunuzi atakuwa na uhakika wa kupata laptop.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom