Heshima kwenu wakuu. Naomba kufahamishwa gharama za uagizaji gari ambalo bei ya kununua na kusafirisha hadi bandari ya DSM ni USD 4,970 ambayo kwa kubadirisha na fedha yetu ya madafu kwa kiwango...
Kumekua na ongezeko la magodown na fremu manzese midizii kutokana na kukua kwa biashara na msongomano wa watu, tena fremu nzuri zinapatikana kwa bei nafuu na godown! kuna godown na fremu kubwa na...
wakuu offer hiyo hapo nahitaji Mil 4 tu, pungufu sipokei ila nyongeza tutaelewana na wala madalali hawahitajiki. nicheki kwa 0713 262798. Ni starlet 1994, manual, EP82 closed top cc 1300 KM...
jamani hiyo desktop ni full na ina specification zifuatazo
DELL OPLEX 755
DUAL 2.2
3 GB RAM
1000 GB(TERA) HARD DISK
DVD WRITER
BLUETOOTH
TV CARD
FLAT SCREEN DELL 17 INCH
WIRELESS MOUSE NA KEYBORD...
Eneo ukubwa wa heka mbili lenye nyumba ya kisasa yenye vyumba vitano ikiwemo master bedroom, kitchen, dinning, sitting room, choo na bafu store na study room safi, matank mawili yenye ujazo wa...
Natafuta "Dealer" :- Muuzaji, Msambazaji, Mafundi, e.t.c wa printers aina ya TallyGenicom hapa Tanzania.
Unaweza ni-PM au email baba_enock@yahoo.com
Thanks
BE
Nahitaji new brand desktop computers with following specs
*processor core 2 duo
*ram 2GB
*Screen, TFT 17"
*HDD >= 250 GB
*DVD +- RW
Kwa yeyote anayefahamu mahal znapouzwa au yeye anauza...
Awe na mdhamini,
elimu kuanzia darasa la saba,
Umri kuanzia miaka 18,
Awe na afya njema,
Form four na kozi ya Computer ni Sifa ya ziada!!
Kazi yake kuu ni kulea mtoto mmoja,kufua nguo...
Ndugu zangu wanajamvi habari zenu.?
Natafuta nyumba ya kupanga nzuri ya kupanga.
- Chumba kimoja na sebule au zaidi,
- Kodi isizidi Tshs. 100,000/- kwa mwezi,
- Iwe self contained,
- Iwe na umeme...
Piga namba 0716622185 au 0759311775
Kuna kiwanja kinyelezi karibu na tank kubwa la maji la kinyelezi.
Upana ni mita 33 na urefu ni mita 21. Upana wa barabara ya kuingilia kwenye kiwanja ni futi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.