Used BB 9700 or BB 9300 Inahitajika..Unapewa 120k,with N95 (Original) Hacked,You wont Get Certificate Errors when You download Apps.. njoo Tufanye Biashara Number Yangu Ya Simu Ni 0718-882873,call...
Ni vitabu viwili, kila kimoja kina page 1300. Kurasa zake zina picha na michoro yenye rangi na ndio sababu sikuona umuhimu wa kuviprint kwenye printer za kawaida. Nahitaji nakala moja kwa kila...
Blackberry 9700 on sale......brand new it comes with 2 batteries,external battery charger na ipo kwnye box na components zake zote.....ambaye yupo interested pm me...........
Kwa wale wanaohitaji kushona suits za aina mbalimbali kike na kiume kwa ajili ya arusi na shughuli zingine, mkoani iringa kuna fundi wa ukweli anaitwa komba yupo karibu na kalenga...
Iphone 3g 8gb on sale price 300k,negotiable,but also
SWAPP business with other phone like BB or HTC can be done...just PM au try 0716 656967 for business.
Natafuta simu ya nokia N95 toleo la 2009 au zaidi. Kwa anaejua aliyonayo au kama unayo tuwasiliane kupitia email;
paulakwilini@gmail.com au paulakwilini@facebook.com.
Jamani wanaume wa tabora tujitokeze kwa wingi kufanyiwa tohara,ni bure hakuna gharama yoyote,kwa wanaume wenye umri zaidi ya miaka 18 unaweza kuja peke yako au na mkeo kufanyiwa tohara,kwa wenye...
Ndg wadau voucher za viwanja vya mradi wa Gezaulole zimetoka. Kwa wale amabo majina yao yalitoka wakafuatilie. Wale amabo hawakupata mimi nimepata lakini uwezo wa kulipia sina. Kama uko tayari...
Mie ni Certified Public Accountant (CPA) na nimesajili kampuni kwa ajili ya ushauri wa mambo ya biashara, na pia nimesajiliwa na TRA kama Tax Consultant. Kwa sasa nashughulikia leseni ya biashara...
Heshima kwenu wakuu, ninawiwa kutafuta wawekezaji, wawezeshaji ama wabia kwa ajili ya biashara yangu. Kifupi nina kampuni ya utoaji huduma za mikopo kwa wajasiliamali na wafanyabiashara wadogo...
je unahitaji kununua kiwanjana kipato chako kidogo?
kiwanja kipo Mabwe pande kinauzwa milioni 9 ni nusu heka kina michungwa na minazi 2.
Umeme upo .
kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Toyota Carina ED ipo katika hali nzuri kabisa inauzwa. DETAILS ZAKE NI; MAKE/MODEL: TOYOTA CARINA ED; ENGINE: 4S, 1800CC; TRANSMISSION: AUTOMATIC, AWD; YEAR OF MANUFACTURE: 1994; ODOMETER...
Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei sh 240,000 .
wasiliana na Habibu 0717810318
10x optical zoom with IS
Compact, stylish metal body
HS System, 10.0 MP CMOS sensor
Full HD...
nauza shamba, kubwa sana la ekari tano.
Lipo CHANIKA.
linafaa kufungua yard,kiwanda,shule,kujenga nyumba au kwa matumizi yako yoyote unayohitaji.
umeme upo na linafikika kwa gari hadi hapo...
Majina ya waliofaulu usaili wa kwanza kama karani daraja c na nafasi nyingine yametoka hapa Utumishi, bandari. Hivyo wanaitwa kwenye usaili wa pili wa mahojiano. Uje usome jina lako ujue siku ya...
Kiwanja hiki kipo hapa Ada Estate pembeni mwa barabara ya Tunisia kinatazamani na Luxury apartment . karibu kabisa na ilipokuwa hospital ya Moyo au leaders club kiwanja kimezunguziwa ukuta na...
eneo zuri sana linauzwa ,lina ukubwa wa eka moja . linafaa sana kwa ujenzi wa hostel na recreation center . ni mahali pazuri mnooo . bei ni milion 35 . pm kwa mtu atakaye hitaji.
NB: maelewano yapo.