Chumba cha kupanga kinahitajika Sinza/Makumbusho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chumba cha kupanga kinahitajika Sinza/Makumbusho.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Luvvy, Sep 15, 2012.

 1. L

  Luvvy Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji chumba kimoja au hata viwili(chumba na sebule) vya self kwenye mitaa husika hapo juu.

  Naomba hata mwenye namba za dalali tu anisaidie maana nna shida kweli.
   
 2. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuna chumba na sebule sinza na kingine chumba kimoja lakin mm sio dalali naweza kuunganisha na dalali
   
 3. B

  Brainiac Senior Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sinza ya wapi?maana na mimi mwenyewe nahitaji je kina maji na umeme?na kodi yake ni sh. ngapi?
   
 4. m

  marty JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naomba nitumie namba ya huyo dalali
   
 5. m

  marty JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna chumba master na sebule kina stoo na jiko pamoja na choo kingine cha wageni..iko ndani ya geti ..maeneo ni sayansi knyama kama uko interested nacho niambie nikuunge hutoitaji kutoa pesa kwa dalali coz nakuunga direct kwa mhusika.kodi ni 180000tsh ,kodi mwaka ila hata miezi 6 anaweza chukua ukiongea nae vzuri.
   
 6. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sinza mori nathani amesema 150 unaweza lipa mwaka au six month are u ke or me iliniangalie kma panakufaa coz nimefika sehemu yenyewe
   
 7. B

  Brainiac Senior Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni mwanamke
   
 8. s

  sunguruma Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nami nilikuwa nahitaji maeneo ya sinza tupe namba ya Dalali
   
Loading...