Nyumba inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Dalali hatakiwi katika zoezi hili. Unaweza tuma picha ya nyumba hiyo na maelezo ya kina yatahitajika. PM me so that I can hook you to the appropriate person.