Kiwanja kinauzwa

fakisi

Member
Sep 4, 2012
86
29
Wakuu kiwanja kinauzwa kipo kisiwani Mafia, kina ukubwa wa square meters 1019 na kimepimwa! Anayehitaji PM please
Ni medium density na asking price is 3.5m Tsh. Eneo ni Kilindoni
 
Watanzania naomba tuwe na tabia ya kusoma na kuelewa. Mtu amesema anauza kiwanja na ameweka asking price ya 3.5Mio alafu bado mnamuuliza weka bei. Sasa ni kwamba huwa atuelewi au huwa tunapenda kudandia tu. Utakuta watu wanauliza weka bei wengi wao sio wanunuaji. Mtu ambaye anaitaji kiwanja seriously huwa ana PM kwani aicost kitu chochote.
 
Ukiangalia mesage yake utaona kaifanyia editting. Hii inaonyesha original message haikuwa na bei mkuu.
 
Wakuu kiwanja kinauzwa kipo kisiwani Mafia, kina ukubwa wa square meters 1019 na kimepimwa! Anayehitaji PM please
Ni medium density na asking price is 3.5m Tsh. Eneo ni Kilindoni

Mkuu, wateja wapi. Je hati ni ya serikali kuu toka wizara ya ardhi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom