Nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari tano.lipo chanika jijini Dsm.
umeme upo
barabara inafika hadi ndani ya eneo.
ni zuri na linafaa kwa aina yoyote ya uwekezaji na kwa makazi.
ni pm au piga...
Wana jf kuna bajaj zinauzwa, moja ni 2 strock badoimara imutumika kwa muda wa miez10 bei yake tshs.1800 000 nyingine ni tvs bado makini imetumika kwa muda wa miezi 7 bei tsh.3.4m kwa muhitaji piga...
Buy a plot in an exclusive gated community and build your dream house from TZS 15m (@ this price you get a plot,arch designs from our signature collection,architectural guidelines and plaque) or...
Habari,
Nahitaji kununua line ya u wakala wa tigo pesa na M pesa kwa mtu yeyote alieshindwa biashara......
Hii ni kutoka na que kubwa ya wateja kwa ajili ya kupata uwakala M pesa na mimi nipo...
Nyumba yenye eneo kubwa kabisa inaunzwa
Ukubwa wa kiwanja ni 60x120
uwanja wote umezungushiwa ukuta nageti
nyumba ina
4 bedrooms
1 kitchen
1 dinning room
1...
House for Sale in Block G, Plot na.1417 Tegeta (Ma site) Kinondoni Municipality DSM
Size:1291M2
Guide Price: Tshs.350,000,000 ( milioni mia tatu na hamsini)
Description: It is very private and...
Jamani natafuta nyumba ya kupanga nhc vyumba viwili au vitatu eneo lolote lakini isiwe mbali na mji dar-es-salaam najua kuna madalali wa hizo nyumba hapa ebu nisaidieni. Commision ni nzuri ina...
Nyumba inauzwa,ina vyumba vinne, dinning, master bedroom na garaje imekamilika mpaka linta bado kuezeka tu,ipo kwenye uwanya wa m 35 kwa m103. Tafadhali wasiliana nami kwa 0763894508,. ni km 6...
jamani kuna iphone 3g 8 GB ipo kwnye state nzuri ila ina screen ina scratch kidogo ila hilo halina tatizo price ni 170,000 if intersted pm me mzigo upo dar,have a nice day ladies and gentlemen
stallet Mashaalah inauzwa, iko Magomeni Dar...
Iko na Boby pamoja na engen boomba kabisa.
Seat cover zimesimamia kucha.
Redio ya ukweli.
Haidaiwi chochote.
Tyre na Rim narenare zinaita...
Wakuu bwana yesu asifiwe!
Natafuta mtu yeyote yule anayeuza simu ya nokia E61 tufanye nae biashara. Mimi nipo moro na nina pesa cash so mweye hiyo simu please naomba ani-pm.
Ahsanteni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.