Na Mimi pia natafuta nyumba ya NHC vyumba viwili sitting Jiko na Choo iwe ubungo kinondoni mwananyamala upanga ilala atakayeipata ya NHC nami nampa 500,000/ Commission
Ipad 1 used lkn haina scratch 16GB haina camera wala haitumii line ni wi-fi ipo ktk condition nzuri kuanzia 450,000 km upendezewa naomba tutaftane ktk 0712000119
Wadau,
Nina gari inakuja mwisho wa mwezi huu, ipo kwenye meli.
Naomba recommendation ya clearing agent mzuri based on your experience.
Jamaa niliokua nawatumia wamekua kichefuchefu, so sitaki...
Hii habari ni kweli na hakika kama unataka nyumba ya vyumba 3 mpaka 6 vya kulala kwa bei ya mil 15 mpaka 25 tuwasiliane . nyumba hizi zipo katika maeneo 2 mwananyamala na buguruni .zote magari...
Habari za kazi wakubwa,
Mpangaji wangu amepata transfer ya ghafla kurudi nchini kwao hivyo ameniachia furniture zake zikiwepo sofa hizo hapo chini kwenye picha nimuuzie.
Bei ya kuuza ni Milioni...
Habari wana JF! nyumba inauzwa ipo kiluvya gogoni kibaha, nyumba bado haijakamilika imebaki kupauliwa ina eneo la ukubwa wa nusu heka umbali kutoka kituo cha gogoni ni km 1, kwenye eneo la nyumba...
Shamba linauzwa lipo bagamoyo, limepimwa na lina hati, ukubwa wake ni heka 71 lipo kando ya barabara ya bagamoyo dar es salaam bei yake ni ml190 contact 0712 868 672 au 0714 107 215
Habari, unaweza jitengenezea website bure. Create a free website in minutes Utapata 500MB Bure pamoja na online support. Jaribu ujionee.
Pia utaweza upgrade mpaka 10GB Kwa bei poa.
nahitaji chumba chenye maji na umeme maeneo ya survey dar es salaam..kisiwe mbali sana na barabara.
kikiwa ni self contained ntashukuru zaidi
mawasiliano 0755815174
nyumba ya kisasa inauzwa iko bunju ni hutua chache kutoka barabara ya Bagamoyo Dar es salaam
ina vyumba3 na master1 kubwa, sebule nzuri, choo, bafu, store,jiko na fremu mbili mbele, ina uwanja...
Kwa wenye uzoefu na ununuzi wa flat screens na furnitures Dar naomba mnipe uzoefu wenu wa duka ambalo lina fare price but quality products nilizozitaja. Natanguliza shukrani.
Habari wana jamii
kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika...
habari zenu wadau!! natafuta bodi la toyota corola 4k au carina,liwe linasupport rear diff. Kwa yeyote alienalo au mwenye kujua wapi naweza kupata ani pm. Msiulize injini na gearbox jamani vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.