pesa nje nje, anahitajika Mbwa pure German Shepherd mdogo...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
kingine toka kwa Shifta dalali toka Pwani ya Baidoa...
anahitajika Mbwa aina ya German Shepherd awe mdogo, rangi yeyote.
Awe amepata chanjo na kadi liwepo.
Meno yake yawe hayajapata kasoro yeyote.
Asiwe kakatwa mkia.
asiwe wa wizi.
Mnunuzi yupo Dar...
Kwa mawasiliano tuma sms kwenda namba 0767666001.
 
Mkuu wewe ni dalali? sema baada ya mauzo wewe unachukua asilimia ngapi?
 
mie nataka huyo wanamwita belgien shepherd nafikiri, kama kuna mtu anaye tunaweza fanya biashara

Belgium.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom