Nyumba inahitajika haraka MOROGORO

Nyumba inahitajika haraka MOROGORO

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679
Nyumba ya kisasa inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Iwe na maji na umeme wa uakika. Dalali hatakiwi katika zoezi hili. Unaweza tuma picha ya nyumba hiyo na maelezo ya kina yatahitajika. Ikiwa fully furnished, the better.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom