Tunahitaji partner wa kufanya naye U-agent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji partner wa kufanya naye U-agent

Discussion in 'Matangazo madogo' started by elmagnifico, Sep 18, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji mtu wa kufanya naye kazi mwenye office tuingie naye mkataba. Tumeingia makubariano na kampuni iko U.K yenyewe inajihusisha na biashara ya kuuza nguo used (mitumba) grade A, vifaa vya electronics (simu, tv, music systems, laptops), furniture na vitu vingine. Makubariano nao ni kwamba tufungue office independently tutafte wateja ambao watatoa order mfano watu hata 5 wanauza toa order ya container la nguo kwa kushirikiana wakashare costs then kwa order tatu za kwanza watatuma mtu wao toka u.k aje kutusaidia kuongea na mteja na makubariano ya malipo na baada ya makubariano process za kutuma container zitafuata.
  Sisi tutafaidika kwa commision ambayo itatolewa kwa kila container na pia tunaweza ongea na mteja tukaongeza commison ya ziada zaidi ya bei yao.
  Na kama mambo yakienda vizuri kwa miezi 12 basi wao watafungua office chini yetu hapa tanzania kwa cost zao.
  Kwa maelezo zaidi kwa mtu aliye tayari ani PM au anicheck kuptia namba yangu 0755955385 au email mway09@gmail.com
   
Loading...