fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 882
Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada katika kuanzisha uchomaji wa kiepe jjn dar es salaam niandae kiasi gani kama mtaji. Tafadhari wakubwa maana kujibweteka tu na kusoma mwisho wa siku utajikuta umeachwa mcbali na wenzio. Na nifanyeje niboreshe sehemu hiyo?