Nahitaji chumba cha kupanga

Nahitaji chumba cha kupanga

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Habari zenu wana Jamii nahitaj chumba cha kupanga Karibia na Chuo cha IFM....... Kiwe self contained Gharama maximum 1200000 kwa mwaka nisaidieni
 
hata me nahitaji chumba chenye sifa hii mtaa wowote ila sio nje ya mji
 
kuna chumba master na jiko kipo kinondoni Tx bei 150,000 kwa mwezi miezi 10 anachukua mimi ni dalali 0657 14 5555
 
huu nao ni wizi,eti dalali afu unataka kodi ya mwezi mmoja mwee
 
kinondoni ntapata room na sebule kwa sh ngapi Dalali
 
Last edited by a moderator:
DaLALi nDio anachukua nafasi ya Kodi ambayo serikali imeshindwa kukusanyA kwa wenye majUmba

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Habari zenu wana Jamii nahitaj chumba cha kupanga Karibia na Chuo cha IFM....... Kiwe self contained Gharama maximum 1200000 kwa mwaka nisaidieni
acheni kuuza sura kaeni huko chuoni msome hamjaja mjini kuwa sharo baro.ndo nyie mwisho wa cku hata kuandika barua za kuomba kazi hamuwezi eti graduate.
 
Mi ninacho ila sasa mamarita hataki wapangaji mastudent
 
kinondoni ntapata room na sebule kwa sh ngapi Dalali
inategemeana kwa leo kuna chumba na sebure hapa vijana kinondoni kwa sh 80,000 kwa mwezi anachukua mpaka miezi 6 . kama unataka fanya haraka njoo ulipe kesho havipo . bei huwa ni 60,000 mpaka 1,000,000 inategemeana na jinsi nyumba ilivyo
 
hata me nahitaji chumba chenye sifa hii mtaa wowote ila sio nje ya mji
kipo hapa kinondoni kwa matx bei 150,000 miezi kumi anachukua , gari inafika mpaka ndani chumba ni master na kina kina jiko
 
acheni kuuza sura kaeni huko chuoni msome hamjaja mjini kuwa sharo baro.ndo nyie mwisho wa cku hata kuandika barua za kuomba kazi hamuwezi eti graduate.

Hujaombwa ushauri kama ulishindwa kuchangia ungekaa kimya Sijui kwanini mnaruhusiwa JF. Aliyekwambia mimi mwanafunzi nani????
 
Nina nyumba fenced self contained solar na kisima kirefu buyuni. 2laki kwa mwezi
 
kuna chumba master na jiko kipo kinondoni Tx bei 150,000 kwa mwezi miezi 10 anachukua mimi ni dalali 0657 14 5555

Asante dalali lakini nimesema maximum iwe 1,200,000 kwa mwaka awe anachukua miezi sita kushuka chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom