Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com
Sababu ya kuiuza ni nini ndugu yangu? Inasumbua au? Ni vizuri kama ulivyoweka aina ya gari hadharani ungeweka picha na bei ili watu wajilipue wenyewe.Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com