Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ya kupanga vyumba viwili sebure jiko na choo maeneo ya Mwananyamala kinondoni makumbusho knyama inatakiwa nina 150-180, 000/= kwa mwezi kodi ya mwaka ipo namba ni 0715 69 69 20
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
0 Reactions
6 Replies
1K Views
any of the phone mentioned is needed ASAP, if you have one for sale om me
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Nina ka Bar kangu nahitaji ka projector kwaajili ya Kutazamia Mpira. mwenye nayo ya Bei Nafuu Naomba anisaidie Tafadhali. Available @PM.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Laptop inauzwa ni LENOVO T61,battery ipo poa kabisa.Bei ni 300,000/= maelewano ya biashara yapo. 0713513637
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa yeyote atakayefanikiwa kumwona awasiliane kwa namba zifuatazo: +255 784 215 559 +255 767 215 559
1 Reactions
15 Replies
2K Views
samsung galaxy pro bei 370. Na samsung galaxy pocket bei 250 .NO NEGOTIATION..0657197186
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SOLD SOLD SOLD SOLD salam wandugu, Scania 113/360 horse, bado haijaanza safari namtafuta mteja wa kulipa advance kidogo hili nimletee. bei nitakayomuuzia mil 40. Gari ni 1993,ni gari ya kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tablet with support for GSM voice communication, SMS, and MMS. GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 Announced 2012, February Status...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chumba self contained kinahitajika maeneo ya mianzini,Arusha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IPHONE 3G 8GB FOR 260000TSH IT COMES WITH CHARGER,SCREEN PROTECTOR,USB CABLE selling price 260000tsh call 0653269241
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Salaam!! Ninataka kununua simu aina ya Nokia E5!! Huwa inakwenda kwa bei gani?? Nipo Tunduru jamani na sina access ya maduka ya simu. Kuna mtu nataka nimuagiza dar
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua simu niliyotaja aliyetayari kwa biashara anipm.
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/= Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Khabari wana JF! kwa wale wanaohitaji viwanja vilivyopimwa 1. kuna kiwanja kipo mbweni kina ukubwa wa sqm 1000 bei yake ni ml 28 2. kiwanja kingine kipo bunju b block no'14 chenye ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Ninauza gari yangu Aina Toyota Premio engine 7A Bei million 8.5 tu kama uko serious nipigie kwa namba 0714500004 Very good condition
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nna mtu wangu wa karibu anahitaji jiko la kuchomea nyama lile ambalo kwa juu lina kama mfuniko na outlet ya kutolea moshi. Nawakilisha
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Watu wengi wamekua wakitaka kutumia official emails lakini wamekua hawajui ni namna gani wanaweza kuzipata. Suluhisho limewadia, kwanini uendelee kutumia jinaLako@yahoo.com , jinaLako@gmaill.com...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DVD za Elimu ya Utambuzi zenye mafunzo ya Elimu ya Utambuzi yaliliyokuwa yakitolewa na Marehemu Munga Tehenan Mhasisi ana kiongozi wa gazeti la JITAMBUE sasa zinapatikana kwa gharama ya shs 10,000...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
natafuta chumba kikubwa chenye maji na umeme
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom