Jiko la kuchomea nyama

Jiko la kuchomea nyama

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
906
Reaction score
297
Wanajamvi,

Nna mtu wangu wa karibu anahitaji jiko la kuchomea nyama lile ambalo kwa juu lina kama mfuniko na outlet ya kutolea moshi.

Nawakilisha
 
Kama upo Dar nenda Kariakoo eneo la gerezani viwanda vidogo pale utapata au opposite na ubalozi wa marekani
 
Kama upo Dar nenda Kariakoo eneo la gerezani viwanda vidogo pale utapata au opposite na ubalozi wa marekani

Asante sana Mkuu, una-idea ya bei yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom