natafuta chumba

natafuta chumba

Unatafuta chumba wapi mkuu?
Taja Jinsia yako, marital status nk.
 
duh huko nimetoka juz juz maeneo ya ubungo, mwenge, kibamba, mbezi ,kijitonyama

hapo sasa ume specify vyema!lkn mkuu usihofu majohe kutakuwa na kituo cha trein ya kwenda mjini!!!!
 
Kipo k1 chalinze mzee hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tabata, nyumbani kwangu. Ninachumba kiko free. Nipe namba ya simu yako
 
Kigamboni je? fenced , iko beach, garden nzuri etc
 
kuna chumba kinondoni studio kina umeme na maji kodi elfu 40 ukihitaji 0657145555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom