DVD ZA ELIMU YA UTAMBUZI bY MUNGA TEHENANI ZINAUZWA.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,063
285
DVD za Elimu ya Utambuzi zenye mafunzo ya Elimu ya Utambuzi yaliliyokuwa yakitolewa na Marehemu Munga Tehenan Mhasisi ana kiongozi wa gazeti la JITAMBUE sasa zinapatikana kwa gharama ya shs 10,000 kwa DVD moja.
DVD hizo zina masomo yafuatayo:
1.Upendo na Mahusiano Sehemu ya 1 & 2.

2.Sisi ni nani Sehemu ya 1 & 2.

3.Kujiamini na kutojiamini 1 & 2.

Kila DVD ina sehemu ya kwanza na ya pili.
Kwa maelezo zaidi au kama unazihitaji piga simu 0717114409. Kwa wakazi wa Dar es Salaam, mtaletewa hapo mlipo.
 
mie nina zihitaji sana nitakutafuta, Je gazeti la jitambue liliishia wapi hakukuwa na watu ambao wangeweza kuliendeleza!? mie lilinisaidia sana
 
Back
Top Bottom