Kwa anayetafuta kiwanja hiki hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayetafuta kiwanja hiki hapa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 13, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita
  maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mivumoni ni dsm au mkoa wa pwani?
   
 3. K

  Kariba1 Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  King Kong III
  naona umelala, hujui mivumoni kama iko Dar es salaam? we endelea kulala tu waache wajanja wa mjini wachukue viwanja
   
 4. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mivumoni Madale ndo kule watu wanakochinjana??? Na hapo unamaanisha nini Milion 6 au Milion 16 ???
   
 5. w

  wilhard105 Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Milioni 6 Au 16 kaka? Je Ni surveyed Plot?
   
 6. K

  Kariba1 Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bei yake ni milion 6, surveying in process but majirani wote tayari wana title deeds
   
 7. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mkuu jibu vizuri hilo swali,si watu wote tunakufahamu Mivumoni lkn tunamahitajio.
   
Loading...