Samsung galaxy 4 sale

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
samsung galaxy pro bei 370. Na samsung galaxy pocket bei 250 .NO NEGOTIATION..0657197186
 
Bei 370na bei 250 ni laki au million specify basi ili tuone inakuwa vipi pia ni Mpya au used?
 
biashara zote ni negotiatable hii ya kwako ni noma maana hamna negotiatio
 
kwanza hili si jukwaa la matangazo then samsung galaxy pocket kila siku kwenye tv inatangaziwa mpyaaaaa shilingi laki 2 iweje used iwe laki 2 na nusu? au ndo ile hulka ya kitanzania mtumba bora kuliko kipya?

na samsung galaxy pro mpya dukan pia haifiki laki 3 na sabini hebu acha utapeli
 
biashara zote ni negotiatable hii ya kwako ni noma maana hamna negotiatio

Kuna nyingine siyo negotiable mfano supermarket si ni biashara mbona hakuna pia na hii ya kwake ni biashara na haina pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom