Incubator ndogo na washing mashine vinauzwa.

Dafo

Member
Aug 1, 2012
75
69
Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/=
Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa anayehitaji anaweza kuni PM. vitu vyote vipo dar.Asanteni.
 
Attachments

  • DSC02107.JPG
    DSC02107.JPG
    1.1 MB · Views: 101
  • DSC02112.JPG
    DSC02112.JPG
    635.5 KB · Views: 71
  • DSC02116.JPG
    DSC02116.JPG
    965.1 KB · Views: 75
Kwanini unauza?

Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/=
Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa anayehitaji anaweza kuni PM. vitu vyote vipo dar.Asanteni.
 
Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/=
Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa anayehitaji anaweza kuni PM. vitu vyote vipo dar.Asanteni.

Embu tupatie assurance kuhusu hiyo incubator mkuu...inafanya kazi kweli?embu tupe kuelewa zaidi
 
Yeah nakuelewa lakini nataka tu kujua kama ana valid reason ya kuuza! nimejifunza hivyo na huwa inanisaidia kuepuka mitego ya kubambikiziwa kitu kisichofanya kazi/Kibovu.
Kimfaacho mtu chake kiongozi!
 
Back
Top Bottom