Nahitaji Projector | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Projector

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mlachake, Sep 12, 2012.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Nina ka Bar kangu nahitaji ka projector kwaajili ya Kutazamia Mpira. mwenye nayo ya Bei Nafuu Naomba anisaidie Tafadhali.

  Available @PM.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,672
  Trophy Points: 280
  mkuu utapata kweli wa kukusaidia!!!labda akuuzie!!!
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Nahitaji kununua Jombaa. Unajua tena lugha zetu za kitanzania. we try to sound too polite.
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,672
  Trophy Points: 280
  aminia mkuu!!!tuko pamoja,wakenya wanachukia sana na lugha yetu hii ya kuomba ....
   
 5. G12

  G12 Senior Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 160
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Una bei gani nikurushie mzigo?
   
 6. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280

  nina 300,000 kaka.
   
 7. t

  testa JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ninayo lakini nauza 400,000
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  nawezapata contacts zako ''through pm'' tuangalie uwezekano wa kufanya biashara?
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Guys. am still in search
   
 10. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jambo la msingi unalotakiwa ujue ni kuwa projecta uwezo wake unapimwa ktk lumens na ina life time ya lamp . Na lamp yake tu ikiwa mpya c chini ya tsh lak nne na elf 80 hivyo lazma ujue lamp ishatumika masaa mangapi na imebakiza masaa mangapi laaa sivyo...!? Ngoja nicheki na kamati zangu, ah, sijui sikuhiz kamati ndo tume? za biashara ntaku pm
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Tajiri yangu nashukuru xana. Thanks again Buddy.
   
 12. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Cheki na huyu jamaa.....0752-858693. Anazo
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu. naona hapatikani I will Try sometimes later.
   
 14. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Nitwangie ziko mbili InFocus 300,000 na Epson 400,000 bado lamp zake zina masaa zaidi ya 2000 ambapo nisawa na miaka mingapi utapiga mwenyewe kulingana na masaa utavyokuwa unatumia. 0717017820
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Umenifurahisha hapo kwenye red!!Yawezekana matumizi ya masaa kwake ikawa tofauti na wewe i real like it na senksi nimekugongea!!Maana nimecheka mbaya!!!
   
Loading...