huawei ascend y200 inauzwa kwa 150000 GENERAL
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
SIM Micro-SIM
Announced 2012, May
Status Available. Released 2012, May
BODY...
Nauliza wandugu wapi naweza kubadilisha kioo cha Samsung 2 tablet ya inchi 7 kwani chake cha asilia kimevunjika baada ya kudondoka,kwa anyejua anijuze na bei zake,asenteh
Habari wakuu.
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni 23 x 30 m, kipo banana ukonga njia ya kuelekea kinyerezi. Bei 6 million. Kwa atakayehitaji tuwasiliane 0715 761787.
Good day!
salamu sana wanajamvi ninahitaji play station 3 na 2 kwa bei nzur................................ msaada ni wap kwa kupata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1:disapointed: SHURANI WAKUU
Nasambaza unga wa sembe pamoja na dona kwenye taasisi mbalimbali kama mashuleni,vyuoni nk kwa chee kabisa. Bei kwa unga wa sembe 50kg ni Tsh 40,000/= na 25kg ni Tsh 20,000/= Pia kwa unga wa...
Ni Toyota Camry all duty paid (Road Licence &Insurance), CC 1830, Year 1995, Model SV40, First registered 2006. INATEMBEA. BEI 3.5M negotiable. Call 0755 850902 or 0787000133
Hi Mambo zenu vipi/
Nauza gari,Landcruiser Prado TX, imetembea km 182023KM,Four cylinders,2500cc,auto,petrol...bei Mil 18...kuna nafasi ya mazungumzo lakini...gari haina shida yoyote ac,radio kila...
Ndugu wana JF nina sim mbili tajwa hapo juu BB 9900 na galaxy s iii mini zote used na zipo katika hali nzuri. Nahitaji mtu wakubadilishananae hizo sim na iPhone 5 au biashara kwa zote mbili kwa...
Nauza simu ya samsung galaxy grand duos, ni nyeupe. Iko kwenye condition nzuri sana, haina michubuko kabisa. Inakuja na charger na cover. Ina android version 4.2.2, 8 megapixel camera, na 5 inch...
Habari, napenda kuwatangazia wale wanaohitaji kununua nyumba maeneo ya kiwalani karibu na shule ya msingi kiwalani, zimejengwa kwenye viwanja vya kupimwa vya serikali, unaweza kuinunua kwaajili ya...
Ni Piki2 Bomba Sana. Si Mchina Ni Mjapani Original Uko Ktk Hali Nzuri. Bei Iko Pouwa Kuna Punguzo La Asilimia 10. Hauitaji Tena Kupanda Gari La Watu Wengi Jivunie Usafiri Wako. Bei Ni 3,200,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.