Piki piki xl dm 30

Piki piki xl dm 30

YUDITHA

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
28
Ni Piki2 Bomba Sana. Si Mchina Ni Mjapani Original Uko Ktk Hali Nzuri. Bei Iko Pouwa Kuna Punguzo La Asilimia 10. Hauitaji Tena Kupanda Gari La Watu Wengi Jivunie Usafiri Wako. Bei Ni 3,200,000/= Mawasiliano 0753359245.
 
Picha, CC ngapi, mileage,
 
Kama Unahitaji Nime Email Nitakutumia Picha. Cc 250 Mzigo Upo Unadocuments Zote Usijali
 
Kama Unahitaji Nime Email Nitakutumia Picha. Cc 250 Mzigo Upo Unadocuments Zote Usijali

Kwamba umeshindwa kuweka picha au?!!hebu acha kutuuzia mlio!!niko interested but tupunguzie muda wa kukuuliza uliza
 
Unapouza kitu ni vyema kuweka picha na maelezo ya kutosha. Haya masuala ya kuambiana nipe email au namba ya simu nikutumie picha yana uwalakini.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Back
Top Bottom