Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nikon camera D40 iko ktk Hali nzuri kwa wale wanaotaka kufanya kazi ya biashara ya kupiga picha ,Bei Tsh 700000.00. picha kufuata ,Call. 0712652110. DAR
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni aina ya canon ir 1708. Haijatumika tz. Bei maelewano. Piga simu hii ikiwa unahitaji. 0755312233
0 Reactions
0 Replies
913 Views
All graduates searchingfor jobs are invited for a discussion and training session on “Graduates’employability”. The discussion will focus on employability challenges, jobsearch techniques and the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei 450000 bei inapungua mwenye kuhitaji anipm nipo Mwanza nina dharura nauza moja ninazo mbili. Simu 0766978393
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wandugu, nauza Play Station2, SONY, DVD-video, DVD-rome, Disc Compact, mpyaaa!! BEI NI SH.220,000 tu, kwa wanaotaka tuwasiliane kwa kingkahindi@gmail.com
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta sofa set used kwa mtu anayeuza. Bei isizi lak 7 na ziwe katika hali nzuri. Kwa aliye tayari ani txt 0717354243 au whatsapp kwa hiyo hiyo namba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wadau..! Kuna soko zuri la uhakika la madini ya mecury nyekundu hasa inayotokana na mwamba,hata kama unayo ya kiwandani na imehifadhiwa vizuri au kama unajua mtu aliye nayo tuwasiliane...
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Kiwanja kina hati milki na kina ukubwa wa mita za mraba 1543 au mita 30 x 51 kina uzio mathubuti iliojengwa kwa nondo na zege nguzo imara na tofari za inch 6. Kiwanja ni kizuri sana unaweza kuona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari.kwa yeyote anae uza Laptop tafadhali tuwasiliana tufanye biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu hapa Jamvini,. Kwa wale mafundi au wataalam wa ujenzi(fundi mwashi) naomba msaada wako, ninategemea kujenga nyumba yangu ndogo ya kawaida kabisa yenye vyumba vitatu na sebule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba yenye vyumba viwili vya kulala kimoja kikiwa ni master, sebule + dining, jiko, na public toilet! Nyumba ipo ndani ya gate na ipo maeneo ya boko califonia, karibu kabisa na barabara
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nahitaji machine ya kuangulia vifaranga maeneo ya dar au kibaha. Naomba aliyenazo aniandikie bei na anapatikana wapi nije kununua. na pia kama ni home made au za nje
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KITABU HIKI kwasasa kinapatikana njombe, mwanza, arusha, dsm, kahama na nzega. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Kama unahitaji msaada wa namna ya kuandika research proposal, literature review na dissertation katika social sciences/humanities (hususan management, administration, development studies etc.)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu ninauza touch apple ipod with 8GB internal memory yenye muonekano mzur still kama iphone4s.ina support wifi,hotspot pamoja na itunes..haina mchubuko wwote iko vizur sana..bei 120,000 only...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
weka bei yako hapo nauza simu ya ideos....
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Nauza blackberry curve 3 9320 nyeupe.. Imetumika lakini ipo kwenye condition nzuri.. Bei 150,000 tshs Check me 0716 880022 Dar es salaam
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadada wa JF leo nawaletea HANDBAGS za uhakika kutoka UK,bei ni nafuu sana tsh 60,000/- tu ofa maalum kwa wanaJF,Pia kuna viatu kama vinavyooneka kwenye picha bei ya viatu ni tsh...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dear all....this is the Best Offer for Best Buyers Htc wildfire only for 160,000/=tshs Htc legand only for 160,000/= tshs Htc desire a8181 only for 235,000/=tshs Htc nexus one only for...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom