Haya tena kwa wale wenye kutaka chupi toka ulaya zipo hapo mjini Dar Muwasiliane na huyu bibi anaitwa Kwa jina hili Sister betty namba zake za simu hizi hapa 0754075370 au hii hapa 0715075370 kila...
Nauza majogoo ya kuku wa kienyeji (chotara), kuku wamwechanjwa chanjo zote na wanafugwa kwa kufata utaratibu bora wa ufugaji. wana umri wa miezi mitano na Wiki tatu... Wameshanza kupanda.
Bei ni...
nauza gari ya rav4 l, imetengenezwa mwaka 2000, rangiyake ni nyeusi.
Iko katika hali nzuri na imekua ikiendeshwa na mwanamke
bei yake million 11.
sababu ya kuuza:
Ninanunua gari nyingine ...
A private telephone network used within an enterprise. Users of the PBX share a certain number of outside lines for making telephone calls external to the PBX.
Most medium-sized and larger...
waungwana nimepoteza katika mazingira ya kutatanisha nokia lumia 900 mpya,rangi ya bluu ;made in korea.from usa. Kwa yeyote atakae iona tafadhali tuwasiliane!
Kwa mara ya kwanza, bidha za Stucco Italiano zimeingia nchini. Moja ya bidhaa hizo ni Classic Venetian Stucco Marmorino Plaster Plaster hiyo inatumika katika kungarisha na kupendezesha...
Model - 2000
KM - 85,000
Car Type - Manual Car
Engine Type - RAV4 2000 CC
Car Owner - Lady
Car Condition - Perfect and it is ready for inspection.
Please contact me through PM or Mobile Phone...
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo...
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba,basi waje kwangu.nauza mashamba ya heka(acres) 20.
mahali yalipo.
kijiji cha VIKUGE (SOGA)
kongowe-kibaha
km 15 kutokea kongowe.
kwa maelezo zaidi wasiliana...
Kiwanja kizuri kinauzwa arusha eneo la engosheraton karibu na shule ya Edmund rice. Urefu ni 34 na upana ni 20. Bei ni 13m ila kuna maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi tuchekiane pm.
Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi.
Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha...
Heshima mbele wana jamvi !!
Kama heading inavyojieleza,nahitaji huo mzigo haraka iwezekanavyo,bajeti yangu ni 1000,000=
IWE KATIKA HALI NZURI
iwe ni ir series ila isiwe ir 1600
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.