Nauza gari.LandCruiser Prado TX

Nauza gari.LandCruiser Prado TX

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Hi Mambo zenu vipi/
Nauza gari,Landcruiser Prado TX, imetembea km 182023KM,Four cylinders,2500cc,auto,petrol...bei Mil 18...kuna nafasi ya mazungumzo lakini...gari haina shida yoyote ac,radio kila kitu fresh..njoo na fundi wako ukipenda.nauza kwa kuwa nataka gari ndogo. well...kama uko serious ni PM

IMG-20131018-WA0008.jpgIMG-20131018-WA0007.jpgIMG-20131018-WA0006.jpgIMG-20131018-WA0005.jpgIMG-20131018-WA0004.jpgIMG-20131018-WA0002.jpgIMG-20131018-WA0001.jpg
 
napenda wadau kama nyie mnaoweka picha na maelezo.gari imetulia inshallah utapata mteja
 
Watakuja subili kidogo, lakini gari imependeza sana,hata kwa kukopea pesa linafaa
 
Saafi kwa mtazamo tu linaonekana bado lipo order. Ningekuwa nimezichanga ningebeba aisee!
 
Hi Mambo zenu vipi/
Nauza gari,Landcruiser Prado TX, imetembea km 182023KM,Four cylinders,2500cc,auto,petrol...bei Mil 18...kuna nafasi ya mazungumzo lakini...gari haina shida yoyote ac,radio kila kitu fresh..njoo na fundi wako ukipenda.nauza kwa kuwa nataka gari ndogo. well...kama uko serious ni PM

View attachment 117281View attachment 117282View attachment 117283View attachment 117284View attachment 117285View attachment 117286View attachment 117287

Bei ghali alafu gari la zamani
 
Dah Petrol tena? ningekupm lakin hapana mkuu, 182+km sio mbaya sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom