Nauza simu ya samsung galaxy grand duos, ni nyeupe. Iko kwenye condition nzuri sana, haina michubuko kabisa. Inakuja na charger na cover. Ina android version 4.2.2, 8 megapixel camera, na 5 inch screen, bila kusahau feature kuu inatumia line mbili. Kama unahitaji tuwasiliane through 0717301520, au 0753301520 ,au pm