blackberry bold 9900 na samsung galaxy s iii mini

blackberry bold 9900 na samsung galaxy s iii mini

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
127
Ndugu wana JF nina sim mbili tajwa hapo juu BB 9900 na galaxy s iii mini zote used na zipo katika hali nzuri. Nahitaji mtu wakubadilishananae hizo sim na iPhone 5 au biashara kwa zote mbili kwa Tsh. 750k. Nitafute 0754787388
 
Attachments

  • 20131017_100337.jpg
    20131017_100337.jpg
    193.1 KB · Views: 118
  • Tanga-20131017-00563.jpg
    Tanga-20131017-00563.jpg
    382.5 KB · Views: 104
mh hii biashara inaweza kuwa ngunu sana.. bora ungeuza kimoja kmoja.
 
Nahitaji vyote hvyo chukua 400 kwa pamoja!! Kesho uvilete ubungo na simba mtoto!
 
Ndugu wana JF nina sim mbili tajwa hapo juu BB 9900 na galaxy s iii mini zote used na zipo katika hali nzuri. Nahitaji mtu wakubadilishananae hizo sim na iPhone 5 au biashara kwa zote mbili kwa Tsh. 750k. Nitafute 0754787388
rubadilishane hiyo galaxy s iii na nikia lumia 510
 
njoo nikupe hela mizigo yote miwili kwa kilo 6 kamili cash cash
 
Mkuu tubadilishane na Nokia Asher 210...teh, teh
 
Back
Top Bottom