Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Used photocopy machine kwa milioni moja,inafanya kazi vizuri na bado inatumika ipo dar mawasiliano 0759149202
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nishapata wakuu thanks kwa mlionesha nia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, kuna jamaa yangu anahitaji tairi za 750 kwa 16, eneo la jirani kupata huduma hiyo ni Iringa mjini. Kwa anaemjua wakala alieyeko Iringa tafadhari naomba contacts zake.
0 Reactions
2 Replies
927 Views
natoa huduma za wafanyakazi wa nyumbani na baa kwa mkataba maarum, unaoweza kulinda hata mali zako, kwa mfanyakazi wa baa ninatoa mfanyakazi, uniform, na kulinda mali ikiwa uharibifu atakao...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
KIWANJA KINAHITAJIKA; TEGETA/BOKO/BUNJU/GOBA/MBEZI JUU/MAKONGO/SALASALA. KIPAUMBELE KWA VILIVYOPIMWA HASA VYA WIZARA/MANISPAA BUDGET 20 MIL (INAWEZA KU-ADJASTIWA KULINGANA NA SATISFACTION) Karibuni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Mpigi majoe , hakijapimwa ukubwa ni miguu 20 x 20 , kipo mpigi majoe kabla ya kuvuka mto . bei ni 7m zaidi unaweza ni pm au nipigia kwenye 0685 31 23 26.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa milioni 6.5 piga cmu 0714064767
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Pikipiki inauzwa Make:bajaj Model:boxer bm150 Registration:T...CKM Mileage:16020 Colour:maroon(red) Price:1.8mil(negotiable) Nimeshindwa kuapload picha sababu zipo kwenye pc,na mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima kwenu wakuu. Nina kigari changu kipo hapa mjini hakina kazi. Naomba kazi toka kwenu . Kinauzo wa kubeba mzigo wa tani na nusu adi mbili itategemea na mzigo na unapokwenda karibuni
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Pikipiki tajwa hapo juu inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana, ni electric starter, ina oil cooler na ina uwezo wa kwenda mbali bila injini ku over heat. Bei haipungui 2.8mil
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Natafuta mpangaji wa kupanga. Nyumba iko sabasaba karibu na mawenzi. Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom choo ndani. Sebule kubwa na korido ambayo ni jiko. Mawasiliano 0718600001
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji land surveyor kunipimia Kiwanija changu Kimoja Bagamoyo.Unapojibu taja bei yako bila wasiwasi
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Am looking for the above mentioned vehicle, should be low milage and at immaculate condition
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A large residential property with all the necessary amenities is available for letting at very reasonable terms. The property has sufficient rooms suitable for use as an Office, Supermarket, Shop...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu.. kutokana na shida za apa na pale nilikua naibana samsung s4 kwa 650 tuu,,, >>tatizo battery life imeanza kuchoka ,,ina survive 6 hours perday.. 0712 507060 if interested
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Kama unahitaji mwalimu wa physics au Advanced mathematics kwa a level kwa aliyepo Dar nipm au 0759 146483 tuongee
0 Reactions
0 Replies
840 Views
natafuta sehem ya kukaa ya ukubwa huo maeneo ya karibu ya chuo cha TIA au hata temeke sio mbaya kama unacho chek me through 0714478797
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Someone with a car of above qualities send me a PM with with quote and contacts. Don't give more details-that will be pollution
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Used bt in good condition na haina tatzo lolote kabisa!! Comes wit two covers and usb cable.... serious buyers chek me on 0688 06 10 10
0 Reactions
0 Replies
676 Views
wakuu nahitaji kununua hiyo gari...so nataka nijue bei zake kwenye yards ya dar..nahitaji yenyc 2000cc na isiwe imetumika bongo...ikiwa nyeupe na rim size kumi na tano itakuwa poa sana...kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom