Habarini ndugu
Jipatie kuku wa kisasa (Broille) wazuri ambao ni wa nyama,
ninauza kuanzia kuku 100 na kuendelea.
kwa bei ya jumla ni Tsh. 5500/= kwa kuku mmoja
na kwa bei ya rejareja ni Tsh...
Statistician needed to play a key role in secondary analysis of data and Prepare statistical tables and analysis for all secondary analysis performed by The team!! Call or Sms +255 763 790 448!
Habari gani wanajamii....mimi natafuta mtaalam wa kutengeneza artwork kwa ajili ya kudisign cover ya audio cd....yeyote mwenye utaaalam naomba anipe bei pamoja na mawasiliano yake.....
Ahlan Wasahlan wakuu.. Kuna viwanja vinauzwa bagamoyo mt40 kwa 40.. Vipo eneo flan linaitwa Kiromo km chache kabla ya kufika mjini... Viwanja hivi vipo umbali wa mita 120 hivi kutoka ktk barabara...
Kwa wakazi wa Dar es Salaam, kuna viwanja 4 vyenye ukubwa wa hatua 20x20, bei ni milion 4, viwanja vipo Pugu Kinyamwezi mbele ya Kigogofresh njia ya kwenda chanika. Gari inafika! Anae nataka aniPM.
Habari zenu wadau
Nahitaji OVEN Machine Kubwa ya Deck 1 hadi 3 (Gas or umeme) ya kukodisha au used inayouzwa, Mwenye nayo au info kuhusiana na hili tufahamishane wadau.
OS :ANDROID 2.2
HARDWARE:SINGLE CORE,1000 MHZ,ARM CORTEX A8
BLUETOOTH
WI FI 802.11
HDMI MINI TYPE C
USB 2.0
BUILT STORAGE 8GB
STORAGE EXPANSION MICROSD,MICROSDHC UP TO 32 GB
nipo dar,my...
wana jamiiforums ni story ndefu kidogo ila kwa ufupi ni wizi umetokea maeneo ya Stanley secondary iliyoko Toangoma,Temeke Dar es salaam siku ya alhamisi(jana tarehe 17/10/2013)mida y saa kumi...
Hahari wana JF. Natafuta kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka2 na ni graduate WA Business Administration. Kwa yeyote awasiliane nami kwa kuni Pm. Asante.
Toyota vitz inauzwa tsh 6m
Toyota harrier inauzwa tsh 14m
toyota i.s.t inauzwa tsh 12m
Kwa maelekezo zaidi piga 0719918788, au 0687242621. Maelewano yapo
Nauza miti aina ya mikaratusi yenye umri wa miaka mitano na nusu ipo mkoa wa Njombe na idadi yake ni miti 1000 bado sijaiangusha kutoka shambani.Miti hii siku za hivi karibuni hutumiwa sana kwenye...
IPO NYUMA YA KILIMANJARO HOTEL. INA UKUBWA WA SIZE YA CARGO CONTAINER LA 20ft. KODI KWA MWEZI SHS 500,000/=. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HII 0755312233
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.