Wapi naweza kubadilishiwa screen iliyovunjika ya Samsung 2 tablet ya inchi 7

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,213
Reaction score
9,035
Nauliza wandugu wapi naweza kubadilisha kioo cha Samsung 2 tablet ya inchi 7 kwani chake cha asilia kimevunjika baada ya kudondoka,kwa anyejua anijuze na bei zake,asenteh
 
kama uko Dar pale mtaa wa samora karibu na habari maelezo opposite na ips building kuna duka linaitwa q print jamaa hata kama hana atakutafutia maduka mengine anayoyafahamu...lakini mkuu ulikuwa unaangalia nini mpaka ukadondosha tab na kuvunja kioo pole sana

wewe upo wapi? kama dar nenda kariakoo kuna ofisi za samsung zinaangaliana na nyumba ya vijana wa ccm. ngoja nikuelekeza;
ukiwa nyumba ya vijana vuka barabara jengo utakalo liface ndo hapo wapo ghorofa ya pili. unaingilia kwa nyuma yaani uwani.
pamejificha kidogo coz hakuna bango linalo onyesha lakini ukifika pale ukauliza wenyeji watakuelekeza. wanakuagizia nje kioo chako. kama warrant yako ilikua haijaisha utapunguziwa bei lakini kama imeisha andaa zaidi ya laki mbili. coz wanakupa vioo vyote cha nje na ndani hawauzi kimoja kimoja.
lakini kuna jamaa yupo hapo hapo k/koo anaweza kukuwekea kwa laki mbili. kama vipi nipm nikupe namba yake muelewane. mia
 
kama uko Dar pale mtaa wa samora karibu na habari maelezo opposite na ips building kuna duka linaitwa q print jamaa hata kama hana atakutafutia maduka mengine anayoyafahamu...lakini mkuu ulikuwa unaangalia nini mpaka ukadondosha tab na kuvunja kioo pole sana

asilimia kubwa mademu ndo wanavunja kwa wivu wa mapenzi sema hawezi andika hapa. mia
 
kama uko Dar pale mtaa wa samora karibu na habari maelezo opposite na ips building kuna duka linaitwa q print jamaa hata kama hana atakutafutia maduka mengine anayoyafahamu...lakini mkuu ulikuwa unaangalia nini mpaka ukadondosha tab na kuvunja kioo pole sana
Asante sana kwa maelezo,ah alichukua shori yangu kwenda kudekishia kitaa kuchukua photo za keki ,aliondoka nayo nzima kurudi vipande vipande utadhani kioo cha mbele cha gari klichopigwa mawe,nilivyofura sikutaka hata kuuliza alivunjanje na nina wiki moja tu toka nitoe vilaki vyangu kuinunua
 
Back
Top Bottom