Anae hitaji viwanja!

Anae hitaji viwanja!

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,492
Reaction score
5,349
Kwa wakazi wa Dar es Salam, anae hitaji kiwanja aniPM, kuna viwanja vitatu 20x20 bei ni milion 4, viwanja vipo pugu kinyamwezi njia ya kwenda chanika!
 
Maisha magumu sana mzee so m4 ni pesa nyingi sana, hususani 20x20!
punguza bei mzee!
 
Kwa wakazi wa Dar es Salam, anae hitaji kiwanja aniPM, kuna viwanja vitatu 20x20 bei ni milion 4, viwanja vipo pugu kinyamwezi njia ya kwenda chanika!

Na huko bado ni Dar sio Pwani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom