Habari, napenda kuwatangazia wale wanaohitaji kununua nyumba maeneo ya kiwalani karibu na shule ya msingi kiwalani, zimejengwa kwenye viwanja vya kupimwa vya serikali, unaweza kuinunua kwaajili ya makazi au kujenga godown. Bai ni kama ifuatavyo, million 125,90, na 70. Wasiliana nami kwa namba zifuazo, 0756572287,0688661057. Asanteni.