Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
Mbona blackberry zinakimbiwa nowdays kuna nini ?
Mbona blackberry zinakimbiwa nowdays kuna nini ?
baddo ipo wadau
non-official news ni kwamba kampuni ya blackberry ime undergo bankkrupty, so mpaka may mwakani kama hataweza kulipa hilo deni watafungiwa, I think some people have noticed this before thats why watu wanaouza bb ni wengi kuliko wanaozinunua!!! Take care guyzzz
Mimi blakbery siipendi.huu ni wakati wa smartphone
Mimi blakbery siipendi.huu ni wakati wa smartphone