Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung note II . 32gb. Ipo vizuri haina .udalali unakagua mwenyew.350000(laki tatu na nusu) 0658739974.
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari wadau, Natafuta mtu mwenye trailer la kuvuta na gari ndogo kama nilivyoambatanisha kwa picha hapo. Na vile vile kama unaweza kutengeneza tafadhali naomba uni-inbox number yako nitakucheki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni original na haina tatizo lolote. Imetumika miezi miwili. Bei yake ni tsh 950,000
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa eneo la itezi mbeya tshs 50m mazungumzo yapo. Ina vyumba vinne vya kulala, sebule, chumba cha chakula na jiko, mabanda ya uani kwa ajili ya mifugo, bustan ipo kwenye uwanja wa eka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pata viwanja vilivyopimwa Mailimoja Kibaha 3 Kilometa kutoka barabara kuu ya morogoro. Vipo eneo la kilimahewa njia ya pangani. Vimezungukwa na umeme, maji, barabara. 1square meter = 9500...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya familia, mpango wangu ni kuhamia tarehe 1 februari mara baada ya kuileta familia huku. Nahitaji nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, na sebule,dining na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
NINAUZA FRIJI MPYA GAURANTEE 2 YEARS MWENYE KUITAJI ANIPIGIE SIMU +255719909267 OR +255766772967 INAPATIKANA KIGAMBONI IMETUMIKA WIKI MOJA INAUZWA SHILING 550,000/=
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Juzi nilikuwa naangali tv moja ya China ambapo nilikuwa interested nilpoona wanatangaza aina fulani ya incubator ambayo yai moja yenyewe inatoa vifaranga wawili,kama ukiweka trei moja ya mayai 30...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Procedure ni rahisi kabisa 1.Tembelea website ya Sbtjapan.com 2.Chagua gari 3.Note stock ID ya hiyo gari ulochagua 4.wasiliana nami kwa (0719215909) ili nikupe utaratibu wa kuweza kuipata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Pagala (nyumba isiyokamilika), ipo katika hatua ya kufunga lenta(bimu) ni mpya kabisa imejengwa mwezi November 2015. Ina vyumba 3 master moja, sebule, choo cha wote, jiko na stoo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, natafuta vitz nina mil 5
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza simu hiyo, ni nyeusi iko kwenye hali nzuri sana. Specs zake kwa ufupi ni kama ifuatavyo: · Quad core 1.5ghz processor · 5 inch full HD screen (1920*1080) resolution at 441...
2 Reactions
17 Replies
8K Views
THE FREELANCING WEB DEVELOPER IS AVAILABLE WITH CODING EXPERIENCE IN HTML5,PHP,CSS3,JQUERY..I CAN DEVELOP THE FOLLOWING WEB SOCIAL MEDIA E COMMERCE REAL ESTATE MEDIA WIKIS...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
Tigo pesa 200,000 Mpesa 150,000 Airtel money 80,000
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa, Napenda kuwataarifu kuwa kupitia kampuni ya Kalahari International, tunafunga CCTV camera za kisasa na teknolojia ya kisasa kabisa kwa bei nafuu. Ofisi zetu zipo DSM na...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
KARIBU PG BUTCHERY Pata Huduma ya Nyama nzuri, Samaki (Sato, Sangala), Maini, Nyama ya kusaga, Sausage katika Bucha yetu iliyopo Maeneo ya Ukonga Banana - RELINI kwa Mkorea. Bei zetu ni nafuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANGAZO Abeti Schools Inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza mwaka 2016 na nafasi za kuhamia kidato cha pili hadi cha nne kwa mwaka 2016. Vilevile inawatangazia nafasi za kujiunga...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hii ni program maalumu inayoendeshwa kupitia ukurasa wa WHATSAPP, Program hii ilianzishwa December 15,2015,ikiwa na lengo la kuelimisha jamii juu ya utumiaji lishe salama na kupunguza uzito wa...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Back
Top Bottom