Incubator, yai moja linatoa vifaranga viwili

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,661
21,635
Juzi nilikuwa naangali tv moja ya China ambapo nilikuwa interested nilpoona wanatangaza aina fulani ya incubator ambayo yai moja yenyewe inatoa vifaranga wawili,kama ukiweka trei moja ya mayai 30 yenyewe inatoa vifaranga 60,na niliipenda zaidi maana haiharibu mayai.

Kama kuna mtu anajua hapa Bongo zinapouzwa basi tujulishane maana sharing is caring waungwana
 
Mkuu navyojua mimi yai lenye kutoa vifaranga 2 huwa ndani lina viini 2..sidhani kama yai la kiini kimoja litatoa vifaranga 2,any way hawa kuku kiafya mi nahisi wataleta shida..labda kwa biashara wanaleta faida ,endelea kutafuta labda utapata,nilishaacha kula kuku wa kisasa miaka 8 ilopita.
Ukitama mayai yenye viini 2 kuna kampuni arusha wanayauza wanaitwa TANCHICK kama sijakosea wagoogle utawaona.
 
Wachina sasa wameona haitoshi kuku kutokea bila jogoo kuhusika wameamua kuleta mapacha wa kisasa.. Hmm.
 
Jihadharini na nyama ya kuku wa kisasa hata ngombe pia,kwa ufupi achaneni na red meat.
kuleni kuku wa kienyeji samaki na sungura otherwise cancer ni halali yenu
 
Back
Top Bottom