Nunua used car Direct kutoka Japan

BIZNEM

Member
Oct 3, 2014
25
3
Procedure ni rahisi kabisa
1.Tembelea website ya Sbtjapan.com
2.Chagua gari
3.Note stock ID ya hiyo gari ulochagua
4.wasiliana nami kwa (0719215909) ili nikupe utaratibu wa kuweza kuipata hiyo gari
 
Hayo SBTJapani ni matapeli, wananisumbua sana kwenye cm ushawishi wao ninunue gari nikakubali kwa sharti malipo yote yatafanyika kupitia bank kwa LC letter of crédit wamekata mpango huo wanataka niingize kwenye A/C yao nami nikagoma, nikaenda kwenye branch yao hapa dar mtaa wa samora jengo la NHC tower opp na twiga house wakawakana na kusema hao ni matapeli. Hizo no nitazileta kwani kila baada ya wiki lazima wanipigie.
 
Back
Top Bottom