Nyumba inauzwa

abdallah mbwana

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
203
189
Habari wakuu,

Pagala (nyumba isiyokamilika), ipo katika hatua ya kufunga lenta(bimu) ni mpya kabisa imejengwa mwezi November 2015. Ina vyumba 3 master moja, sebule, choo cha wote, jiko na stoo. ipo katika kiwanja kikubwa cha kujenga nyumba nyengine kwa nyuma

Ipo Dodoma mjini, maeneo ya nzuguni karibu kabisa na chuo cha maendeleo ya jamii,

kiwanja kina hati na kimezungushiwa miaka ya miti

Bei ni 12,000,000tsh-"fixed price" (12M). haina udalali inauzwa na mwenyewe

kwa mawasiliano piga 0788545146 au 0752738891

shukran na karibuni
 

Attachments

  • 20151030_172232.jpg
    20151030_172232.jpg
    229.8 KB · Views: 70
  • 20151030_172303.jpg
    20151030_172303.jpg
    227.2 KB · Views: 59
Kula 8
Nakupa 5 kwanza 3 baada ya miezi miezi siku 90 mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom