Natafuta Treler la kuvuta na gari ndogo

mwandulu

Member
Dec 22, 2012
23
5
Habari wadau,
Natafuta mtu mwenye trailer la kuvuta na gari ndogo kama nilivyoambatanisha kwa picha hapo.
Na vile vile kama unaweza kutengeneza tafadhali naomba uni-inbox number yako nitakucheki.
Shukrani.

Noel Alex
 

Attachments

  • trailerAd.jpeg
    trailerAd.jpeg
    107.9 KB · Views: 44
Hapana kiongozi uku kwetu ni adimu sana hizi vitu, ukikosa kabisa nakushauri ingia ebay ziko nyingi sana kila aina at a reasonable price
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom