Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu, natafuta laptop brand yoyote yenye sifa zinazoendana na soko la biashara. Walau iwe na sifa hizi screen ya 14 mpaka 17inch, ram 2 au 4gb, HDD 500gb, DVD ROM, internal speaker...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hellow wanaJF! Natafuta singland zinazoitwa First Light. Kama unazo please niPM tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama una laptop mbovu mbovu usiitupe jalalani nanunua bei maelewano............contact 0654262419 or whatsapp +255654262419......... Thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni mahaalum kwa kwa wapenzi na wanandoa, ni time yako tena ya kuenjoy katika msimu huu wa wapendanao.huu ni mzigo wa valentine day 2016 tunaingia hotelin jumamosi mapena sana, breakfast, baada...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kwa wale wataalam wa kupamba nyumba natafuta mtu ambaye anaweza kupamba chumba cha mtoto wangu kama inavyoonekana hapo kwenye picha... Njoo inbox
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Ninahitaji shamba la eka tatu kwaajili ya kufugia. SIFA ZA SHAMBA 1. Shamba hilo liwe linapatikana Mkuranga 2. Eneo lilopo shamba liwe na maji ya kutosha nikichimba kisima...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza TV tajwa hapo juu, ni 26' bei 360k niko magomeni dar es salaam.Kwa kuiona 0686979746
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Hiyo freza inauzwa kwa bei ya hasara 200000/= 0676733786
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Msaada jamani yoyote mwenye article au kitabu (local) kinachohusu mifuko ya hifadhi ya jamii kwenye soft copy naomba aniPM nimgee email anitumie...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Wadau nahitaji laki nne na nusu 450,000/=kwa simu tajwa hapo juu.inapatikana hapa hapa dar es salaam. Atakayehitaji anicheki whatssapp kwa no 0758907024.imetumika mwezi mmoja haina tatizo lolote...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Nauza samsung galaxy s3 mpya 16GB internal Colour white 8 megapixel Bei 320,000 nitafute kupitia 0758728258,0688080008 Unaweza kujiridhisha kwa kuhakikisha kua ni original kwa kuangalia kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bajaji ni mpyaa ina mwezi mmoja (1) barabarani. Haina hata tone la mchubuko Vibali vyote vimo kutoa Sumatra. Bajaji ipo Dar es salaam... bei 5.9M Maelewano yapo Kwa mawasiliano zaidi ni PM
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Corolla Mwaka - 1999 Iko dsm Bei 4.8m Karibun Piga simu 0656436662 Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Toyota rav4 Mwaka- 1998 Km - 110000 Haidaiwi kitu Bei 12.5m Maongezi yako Gari iko dsm Karibun Piga smu 0656436662 Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Bajaji ni mpyaa ina mwezi mmoja (1) barabarani. Haina hata tone la mchubuko Vibali vyote vimo kutoa Sumatra. Bajaji ipo Dar es salaam... bei 6M Maelewano yapo Kwa mawasiliano zaidi 0718928267
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari aina ya Suzuki cary Mwaka- 1997 2wd Km 120,000 Bado iko katika hali nzuri sana Bei 9.8m Piga simu 0656436662 Dare es salaam Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Sound card inauzwa bei laki 5
0 Reactions
0 Replies
970 Views
40 Feet container for rent. Tsh500,000 kwa mwezi (negotiable), contract in ya mwaka mmoja Kodi zinatofautiana kutokana na aina ya biashara Piga 0684888841
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom