Je komputa yako ina Tatizo Lolote? Ilete kwa mtaalamu aitibu

Baraka Rabson

Member
Sep 9, 2014
64
16
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa mawasiliano piga Simu No.0676040772
 
Internal speaker ya HP pavilion g6 model 2230tx unayo na unauza bei gani nijue nije nikucheki au la
 
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa mawasiliano piga Simu No.0676040772
Msimbazi kubwa ndugu, upo sehemu gani hasa? Mie unisaidie data recovery, external HDD yenye 500 GB inagoma kuonekana kwenye PC
 
HP pavilion dv3 haiwaki ukiiwasha kawaida, lakini safe mode inapigakazi. Nimeshaformat, nimeweka hard disc mpya na graphic card mpya lakini haikusaidia kitu. Nipo mkoani kama unauhakika unaweza kuitibu nifunge safari nikuletee but kama huna uhakika niambie
 
Huyo inatibika mkuu...Uhakika kabisa.
 
Laptop yangu ina baadhi ya keys hazigongi meaning haziclick unaweza kutengeneza hard part ya laptop au ni soft part tu?
 
Ngoja ni subscribe huu uzi ili nikinunua kitu cha mpakato nikuje na mrejesho aiseeee...;)
 
Nina laptop yangu lenovo haiwaki ilimwagikiwa soda kwenye keyboard,matengenezo yake yapo je na yana gharimu kiasi gani..?
 
Back
Top Bottom