Nauza simu ya sony xperia z tsh 730,000

Nauza simu ya sony xperia z tsh 730,000

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Nauza simu hiyo, ni nyeusi iko kwenye hali nzuri sana. Specs zake kwa ufupi ni kama ifuatavyo:
· Quad core 1.5ghz processor
· 5 inch full HD screen (1920*1080) resolution at 441 ppi
· 2gb of ram
· 16gb of internal storage
· 13 megapixel camera
· Android version 4.2.2
· waterproof
For more info about the phone, visit Sony Xperia Z - Full phone specifications

Kama uko interested nichek at 0717301520, or pm
 

Attachments

  • 20131030_093825.jpg
    20131030_093825.jpg
    350.5 KB · Views: 262
  • IMG-20131030-WA0002.jpg
    IMG-20131030-WA0002.jpg
    40.6 KB · Views: 237
  • IMG-20131030-WA0005.jpg
    IMG-20131030-WA0005.jpg
    43.4 KB · Views: 226
hii cm ni nzur kwel..lakn kw bei hyo hapa JF htopata mnunuz mm binafsi nakupa 250000.
 
hii cm ni nzur kwel..lakn kw bei hyo hapa JF htopata mnunuz mm binafsi nakupa 250000.
Kama unafahamu bei yake halisi huwezi kusema kuwa hii bei ni kikwazo. Ni bei nzuri kabisa
 
hiyo cimu kweli bei yake nje ni kali..ila tanzania sijui zinaingia kimsaada apa..maana mwezi uliopita arusha dukani nilikuta ikiuzwa kwa laki 7 na nusu (way beyond than cheap)
ila mkuu kwa hawa wanaq jf asilimia kubwa yao sio wezi,,ni watafutaji wa jasho lao,,kwahiyo ukitaka kuwauzia kitu jaribu kucheza na nyakati..APA utauza sana kwa 5.5...ila kwaa bei iyo tafuta mdau mwenye connection na watoto wa laurent na dis..izi shule zipo mikocheni..utapata tuu
 
hatumkatish tamaa..namueleza fact..kutokana na ujuzi wangu humu jf wa kuuza bidhaa kama izo..kwa bei io humu watanunua tablet tena sana sana za ipad,,ila kwa simu,,watu umu kwa bei io labda samsung ,,galaxies and notes
 
yangu nauza 500,000 kama unahitaji nipm mazungumzo yapo
 
Labda awauzie wasiojua simu,Sony xperua z ukitoka 2013,leo 2016,ni kama Galax s2 uuze lak 5,hyo laki saba ni bei ya z3,nenda hata posta,shuka mpaka si zaid ya laki 3.5
 
nilikuwa na z2 version yake ni 5.0 lollipop c mchezo nilinunua kwa jamaa yangu alikuwa na shida sanaaa,..nikanunua 4.5 cash,...
ila hiyo yako version 4.2.2 ndogo ni Z ngapi pia????,..ila bei kali sana mkuu,..
 
Wana jf kuweni na busara, acheni kukurupuka tu. Muwe mnasoma vizuri kabla ya kucomment. Hiyo post niliiweka mwaka 2013 november, na simu nikaiuza humuhumu 4 daya later, acheni kuropoka. leo watu mnakurupuka na kucomment bei kubwa, jiulize kwanza at that time bei yake ilikuwaje. Tumieni busara!!!!!!!!
 
Wana jf kuweni na busara, acheni kukurupuka tu. Muwe mnasoma vizuri kabla ya kucomment. Hiyo post niliiweka mwaka 2013 november, na simu nikaiuza humuhumu 4 daya later, acheni kuropoka. leo watu mnakurupuka na kucomment bei kubwa, jiulize kwanza at that time bei yake ilikuwaje. Tumieni busara!!!!!!!!
Mkuu tusameheane tu maana wengi wetu humu tuna tatizo la kutokuangalia tarehe post ilipotumwa,kuna siku jamaa aliikurupusha thread yakumzungumzia marehemu Amina Chifupa acha watu watiririke kuja kuangalia kumbe ni ya mwaka 2007.
 
Hilo ni tatizo la aliyeuvuta uzi ,MTU kuangalia tarehe wakat unatumia tecno yenye 1g na screen 1.9inch
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom