dalalizama
Member
- Sep 8, 2015
- 20
- 0
Nyumba inauzwa eneo la itezi mbeya tshs 50m mazungumzo yapo. Ina vyumba vinne vya kulala, sebule, chumba cha chakula na jiko, mabanda ya uani kwa ajili ya mifugo, bustan ipo kwenye uwanja wa eka moja. Kwa mawasiliano wasiliana nami 0754060350