Weight loss challenge

Pharm Mazua

New Member
Jan 8, 2016
3
1
Hii ni program maalumu inayoendeshwa kupitia ukurasa wa WHATSAPP,
Program hii ilianzishwa December 15,2015,ikiwa na lengo la kuelimisha jamii juu ya utumiaji lishe salama na kupunguza uzito wa miili yao.

Kwa mara ya kwanza tulichukua watu 50 tu na mpaka sasa wamefanikiwa kupunguza uzito wao.

NB:
Pamoja na kufanya mazoezi,kujishughulisha lakini bila kujua na kuzingatia unakula chakula gani kulingana na hali ya mwili wako ilivyo,hauwezi fanikiwa kamwe kupunguza uzito mkubwa wa mwili wako.

Sisi tunakufundisha ujue vizuri makundi ya vyakula na vyanzo vyake pamoja na jinsi vinavyofanya kazi mwilini,ili unapokula chakula ujue kabisa unakula chakula kilicho kwenye kundi gani na kazi yake.

UNAWEZA JIUNGA SASA NA UJIFUNZE.
PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE WENYE NENO "UZITO" KWENDA NAMBA 0757020457.

KARIBU SANA.
 
Back
Top Bottom