Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,954
- 8,093
Natafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya familia, mpango wangu ni kuhamia tarehe 1 februari mara baada ya kuileta familia huku.
Nahitaji nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, na sebule,dining na jiko.
Iwe sehemu yenye ulinzi wa kutosha (ni vyema zaidi ikiwa na uzio, lakini hata isiyo na uzio nitazi-consider baada ya kujiridhisha ziko eneo lenye usalama.
Iwe eneo lolote la Mbeya mjini, ambalo kufikika kwake kutoka stendi kuu ya Mbeya ni kwa daladala moja(Mbalizi,Forest ya zamani,Sae,Kabwe,Nanenane, etc); Isipokuwa tuu Forest mpya.
Iwe eneo ambalo maji sio tatizo sana, na/au iwe na sehemu ya reserve ya maji(water tank).
Price range; uwezo wangu ni kulipa sio zaidi ya laki mbili na nusu kwa mwezi.

Last edited by a moderator: