RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
TANGAZO
Abeti Schools Inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza mwaka 2016 na nafasi za kuhamia kidato cha pili hadi cha nne kwa mwaka 2016.
Vilevile inawatangazia nafasi za kujiunga kwa pre- primary na darasa la kwanza kwa mwaka 2016 na nafasi za kuhamia kwa darasa la pili hadi darasa la sita.
Shule ina mazingira mazuri kusomea ikiwemo maktaba yenye vitabu vya kila aina, maabara ya kisasa yenye vifaa vyote walimu waliobobea, Shule inaongoza kimasomo kimkoa (Mkoani Singida), inatoa usafiri kwa wanafunzi wa kutwa na chakula kwa wanafunzi wa kutwa na bweni. Pia tunafundisha masomo ya kompyuta.
Shule ni kituo cha mitihani kwa wanaorudia na watahiniwa binafsi.
Kwa wanafunzi wageni watapokelewa na kufanyiwa usaili siku hiyo hiyo.

Mawasiliano yetu:
0713176991; 0765-308173
0713-176991; 0754-3822201
0713176991; 0765-308173
0713-176991; 0754-3822201