Ndugu zanguni nahitaji msaada nataka kufanya biashara ya simu za mkononi brands hasa za Tecno zile za mtu wa kawaida nikiwa na maana ya simu ambazo sio smart.
Hivyo niombe msaada ni maduka gani...
Natafuta Android 5.1 tablets brand nzuri.Nahitaji kama 15 in total with good memory. where can I get genuine tablets and at what price. I'm reached at damax@gmx.com or nat867@gmail.com
Habari wakuu, nina gari aina ya Honda CR-V ya mwaka 1999 nauza kwa sh 7.5M. Gari ni Automatic na ipo katika hali nzuri, imetembea umbali wa Km 169,000 na ina insurance na toad licence mpaka...
Habari wadau,
Natafuta dereva kwa ajali ya familia;
1. Jinsia ya kike
2. Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya sinza, kijitonyama, Kinondoni, Mwenge.
3. Awe na leseni halali ya kuendesha...
hello there
kama una website iliyopotea hewani ghafla then nipm.....vile vile narudisha password za web admin zilizosahaulika na kupotea......nipm or text 0654262419
Habari
Gari aina ya HONDA CRV inauzwa hapa jijini Mwanza. Inaingia nchini March, 2015.
Namba ya usajili ni DDM, bei ni 10m. kwa mawasiliano piga namba. 0765072213
Picha zitafuata kesho
Habari Jf,
Kwa wale wote wenye uhitaji wa msusi na dada wa saloon tuwasiliane kwani yupo msichana(binti) mchapakazi mwenye umri wa miaka 24 anaishi Mabibo_Dar es Salaam.
Ni mwaminifu, na hodari...
Jamani mbuzi wa maziwa haooooo! Wanauzwa kuanzia 100,000/= hadi 250,000/= Dar Es Salaam Mbagala Kongowe.
Sababu za kuuza ni kubadili mradi. Piga 0767802075 kama umependa
Maziwa fresh na mtindi yanapatikana hayana maji kabisa ni mazuri sana lita moja ya maziwa fresh ni tsh 2000 na mtindi ni tsh 2500
1. Lita tano ni tsh 12500 kwa maziwa ya mtindi
2.Lita tano ya...
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na...
Wanajamvi habarini za leo?
Naulizia mafundi wazuri wa AC maeneo ya Kimara mpaka Mbezi Mwisho. Mwenye ufahamu naomba atupe mawasiliano hapa.
Akhsante nawakilisha
Mdau
Habari wanajf,
Kwa wale wenye tatizo la uhaba wa maji na wamechoshwa na kero hiyo,
nakukutanisha na wataalamu na mafundi waliobobea ktk uchimbaji visima vya aina zote,kufunga pump na kufanya...
NYUMBA IKIWA NA KIWANJA CHAKE UKUBWA 42 KWA 35 INA CHUMBA CHA KULALA,JIKO,CHOO,SEBULE imepauliwa nusu, kuna migomba, maji yapo jirani kiwanja hakijapimwa bt kuna makaz ya watu,ipo mpakan mwa...
Habari wanajf,
Kwa wale ndugu zangu wenye shida ya wafanyakazi wa ndani(wadada wa kazi) umri miaka 18_22.
Wenye uzoefu,waaminifu na wenye tabia nzuri wanapatikana(utatafutiwa anayekufaa).
N.B...