Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Ndugu zanguni nahitaji msaada nataka kufanya biashara ya simu za mkononi brands hasa za Tecno zile za mtu wa kawaida nikiwa na maana ya simu ambazo sio smart.
Hivyo niombe msaada ni maduka gani DSM yana bei nafuu? Naomba msaada kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Hivyo niombe msaada ni maduka gani DSM yana bei nafuu? Naomba msaada kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za dhati